Share

Maiti 19 zilizohifadhiwa kwa muda mrefu katika hospitali ya rufaa Isiolo zazikiwa

Share this:

Miili 19 ambayo haijatambuliwa na wenyewe katika Hospitali ya Rufaa ya Isiolo, imezikwa katika kaburi la pamoja. Kwa mujibu wa afisa wa afya George Gitonga, miili 3 kati yao imekuwa katika hifadhi ya maiti kwa zaidi ya miezi 6

Leave a Comment