Share

Maisha bila mapafu: Evans aishi na mashine ya kupumua miaka 6

Share this:

Mwanamume mmoja kutoka eneo la Uthiru county ya Kiambu ana ushuhuda usio wa kawaida baada ya kuishi miaka 6 akitegemea mtungi waoxijeni kupumua.
Evans Wainaina aligunduliwa kuwa na kifua kikuu mwaka 2014, hali iliyo haribu mapafu yake yote.
Kila siku, familia yake Evans hugaramika shilingi 4,500 kupata mtungi mmoja wa  oxijeni anayotumia.
 Huku wakipambana na deni la gharama ya nguvu za umeme la shilling elfu 130.

Leave a Comment