Share

Mahakama yaamua Aukot ajumuishwe kwenye uchaguzi wa Oktoba 26

Share this:

Wagombea wote wanane walioshiriki kwenye uchaguzi wa urais wa Agosti mwaka huu wako huru kushiriki kwenye marudio ya uchaguzi wa urais.

Haya yamesemwa na jaji John Mativo, alipokuwa amefika mahakamani kwenye kesi ambayo mgombea kiti cha urais kwa chama cha third way allience Dr Ekuru Aukot, alitaka kujumuishwa kushiriki kwenye uchaguzi.
Jaji amesisitiza kuwa uchaguzi unaofanywa ni mpya na wala sio wa marudio , na hivyo basi haiwezekani mgombea yeyote kunyimwa haki ya kushiriki.

Leave a Comment