Share

Mahakama kuu yaagiza Aukot ajumuishwe uchaguzini

Share this:

Mahakama imeiamuru tume ya uchaguzi nchini IEBC kumjumuisha kinara wa chama cha Third Way Alliance Ekuru Aukot katika orodha ya wagombea kwenye marudio ya uchaguzi wa urais. Jaji John Mativo amesema kwamba IEBC lazima ichapishe notisi mpya itakayomuorodhesha Aukot miongoni mwa wagombea wa urais. Aukot kwa upande wake ameipongeza mahakama akidai kuwa IEBC ilikuwa imehujumu haki zake kama mmoja wa waliopinga matokeo ya uchaguzi wa Agosti nane, uliobatilishwa.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment