Share

Mahakama kuamua iwapo Meja Peter Mugure atapewa dhamana

Share this:

Mahakama kuu ya Nyeri inatarajiwa kutoa uamuzi wake kuhusu iwapo itamuachilia kwa dhamana au la mshukiwa wa mauaji ya watu watatu Major Peter Mugure. Mugure anakabaliwa na mashtaka ya kuwaua Joyce Syombua na wanawe wawili.

Leave a Comment