Share

Magunia 2000 ya sukari isiyo salama yanaswa Mombasa

Share this:

Maafisa wa polisi mjini mombasa wamenasa zaidi ya magunia elfu mbili ya mbolea na sukari isiyo salama kwa matumizi ya binadamu na ambayo inakisiwa kuwa na madini ya zabaki. mjini mombasa.

Leave a Comment