Share

Mageuzi kuhusu uchaguzi : Ni miaka miwili tangu uchaguzi uliopita

Share this:

Jumanne ya pili ya mwezi Agosti siku kama ya leo miaka miwili iliyopita ilikuwa ni tarehe 8 ya mwezi Agosti mwaka 2017, kwa mujibu wa msimamo wa katiba wakenya walifika debeni kushiriki uchaguzi mkuu ilivyo ada ya kuandaliwa kwa zoezi hilo kila baada ya miaka mitano.
Huku ikiwa imesalia miaka mitatu tu ili taifa lirejee debeni iwapo katiba haitafanyiwa mabadiliko, wengi wamesahau kuwa kuna umuhimu wa kuafikia marekebisho makuu kwenye mfumo wa uchaguzi nchini.
Anders Ihachi anatathmini suala hilo na alizungumza na mtaalam wa masuala ya uchaguzi Felix Odhiambo na katibu wa chama cha ANC ambaye pia ni mchanganuzi wa masuala ya siasa Barrack Muluka.

Leave a Comment