Share

Magenge yavamia wenyeji wa Kitengela

Share this:

Wenyeji wa eneo la Kitengela wanalalamikia visa vya uvamizi ambavyo wanadai kuwa unatekelezwa na genge linayofahamika kama gaza. Genge hilo limewahangaisha wenyeji kwa kuwaibia na kuwapiga, baadhi yao wakiachwa na majeraha

Leave a Comment