Share

Magavana waelekea mahakama ya juu kutafuta ufasiri wa majaji

Share this:

Magavana asubuhi ya leo wameelekea katika mahakama ya juu kutafuta ufasiri wa utata wa ugavi wa mapato kati yao na wabunge. Magavana hao wanasema kuwa shughuli nyingi za kaunti zimelemazwa kufuatia utata wa mgao huo wa fedha za kaunti. Mwenyekiti wa baraza la magavana Wycliffe Oparanya hapo jana alisema kuwa huenda mambo yakawa mabaya zaidi katika usimamizi wa kaunti endapo mzozo huu hautapata kutanzuliwa.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment