Share

Magavana wa mlima kenya wamtetea rais

Share this:

Naibu wa rais William Ruto amewasuta wanasiasa wanaoeneza cheche za migawanyiko ya kikabila na kijamii kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2022. Ruto amevunja kimya chake baada ya mihemko ya siku kadhaa, iliyoonekana kumlenga, na njama za kulemaza azma yake ya urais kutangazwa na aliyekuwa naibu mwenyekiti wa chama cha jubilee david murathe. Haya yamejiri huku magavana wa kaunti za eneo la mlima kenya wakipigia debe mabadiliko ya kikatiba ili kufanikisha kujumuishwa na maeneo mbali mbali nchini katika uongozi wa taifa na ugavi wa mamlaka.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment