Share

MAFURIKO PWANI: Vituo vinne vya afya vimefungwa Mombasa

Share this:

Serikali ya kaunti ya Mombasa imefunga vituo vinne vya afya katika kaunti hiyo, kufuatia mafuriko ambayo yamekuwa yakishuhudiwa ili kuzuia mkurupuko wa ugonjwa wa Kipindupindi.
Hatua hii aidha imewaacha wakazi taabani kwani huduma za matibabu katika maeneo hayo yamekatizwa, huku wakilaumu Gavana Hassan Joho kwa masaibu hayo.

Leave a Comment