Share

Mafunzo kwa maafisa watakaoendesha sensa kuanza Alhamisi

Share this:

Jioni ya leo, pilka pilka zimeendelea katika maeneo mbalimbali nchini kwa matayarisho ya zoezi la kuhesabu watu linalotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu. Hata hivyo, kizaazaa kimeshuhudiwa katika eneobunge la Kiambaa ambako wakaazi wamewakataa maafisa waliochaguliwa kusimamia zoezi hilo wakisema si wa eneo hilo.

Leave a Comment