Share

Madereva wa trela, wafanyabiashara mjini Mombasa waandama

Share this:

Madereva wa trela, wafanyabiashara, baadhi ya viongozi kutoka mombasa pamoja na watetezi wa haki za kibinadamu mjini Mombasa walifanya maandamano kulalamikia hatua ya serikali kuwa mizigo inayoelekea Nairobi isafirishwa Kwa kutumia reli ya SGR.

Leave a Comment