Share

Madai yaibuka kuhusu naibu wa Rais kuwekewa visiki kuwania urais

Share this:

Wanasiasa wanaoegemea mrengo wa Naibu wa Rais William Ruto sasa wanasema njama ya kumfungia mlango wa urais katika kinyang’anyiro cha mwaka wa 2022 bado ipo na inachochewa na mwito mpya wa kutoa muda wa kuhudumu kwa rais. Seneta wa Nandi Samson Cherargei anasema baadhi ya wanasiasa wenzake wanaomzingira rais Kenyatta hawana nia nzuri na azma yao ni moja tu. Kukabili umaarufu wa Ruto.

Leave a Comment