Share

Madai ya hongo katika uchunguzi wa kashfa ya sukari yaibuka

Share this:

Baadhi ya wabunge sasa wanadai kuwa kuna wenzao waliokula rushwa kusudi ripoti ya uchunguzi wa sukari ya magendo isipitishwe bungeni. Kulingana nao, wenzao walikubali kufumbwa macho ili kuwakinga wakiritimba wa kibiashara pamoja na mawaziri wawili walitajwa kwenye ripoti hiyo.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment