Share

Machafuko ya Njoro : Aliyekuwa mbunge Kiuna asakwa

Share this:

Polisi wanamsaka vikali aliyekuwa mbunge wa Njoro Joseph Kiuna na Dennis Mutai Kiptoo kwa madai ya uchochezi.
Kiuna alikuwa amepewa hadi leo saa nane kufika katika kituo cha polisi kilichoko karibu naye na akakosa kufanya hivyo na sasa msako dhidi yake umeanzishwa.
Wakati huo huo, polisi wangali wanamtafuta Dennis Mutai Kiptoo aliyedaiwa kusambaza ujumbe wa uchochezi kwenye mtandao wake wa kijamii.

Leave a Comment