Share

Mabunge 16 ya kaunti yapiga teke mswada wa Punguza Mizigo

Share this:

Mabunge 16 ya kaunti yameupiga teke mswada wa ‘Punguza Mizigo’ unaopendekeza msururu wa mabadiliko ya kikatiba. Hata hivyo, kinara wa Thirdway Alliance Dkt. Ekuru Aukot anadai wanasiasa tajika wanawahonga waakilishi wa kaunti kuutema mswada huo wake wa ‘punguza mizigo’ kama anavyotuarifu Francis Gachuri.

Leave a Comment