Share

Mabasi 39 ya shirika la NYS kuwasili nchini kurahisisha usafiri

Share this:

Hatimaye mabasi ya shirika la huduma kwa vijana NYS yanayonuiwa kutumiwa kuwasafirisha abiria jijini Nairobi yanatazamiwa kuwasilishwa humu nchini wakati wowote kuanzia sasa.
Kwa mujibu wa msemaji wa kitengo cha mawasiliano ya ikulu Manoah Esipisu,zaidi ya mabasi 39 yanatazamiwa kuwasili nchini katika awamu ya kwanza.

Leave a Comment