Share

Mabaki ya wahanga wa ndege ya Ethiopia kuwasili

Share this:

Hatimaye familia zilizopoteza jamaa zao katika mkasa wa ajali ya ndege ya Ethiopia miezi saba iliyopita watawazika wapendwa wao huku mabaki ya miili yao ikitarajiya kuwasilishwa nchini kesho.
Ndege hiyo ya Ethiopian Airlines ilianguka mwezi Machi mwaka huu katika eneo la Bishoftu dakika chache tuu baada ya kupaa angani kutoka uwanja wa ndege wa Bole ikiwa inaelekea Nairobi.

Leave a Comment