Share

Mabaki ya maiti yafukuliwa baada ya miaka 50

Share this:

Mabaki ya maiti yafukuliwa baada ya miaka 50. Charles Kyalo aliaga na kuzikwa Mombasa.

Mkewe alitaka kaburi kuwa Kitui. Ibada imefanywa upya leo kwa marehemu #CitizenNipashe #CitizenNipashe

Leave a Comment