Share

Maandamano yafanyika Nairobi,Kisumu,Migori na Homabay

Share this:

Maandamano ya kushinikiza mabadiliko katika tume ya uchaguzi IEBC yaliyoitishwa na muungano wa nasa hii leo yameendelea katika baadhi ya maeneo huku mali ya thamani isiyojulikana ikiharibiwa.

Hapa jijini Nairobi,viongozi wa muungano huo wamesema kuanzia juma lijalo maandamano hayo yatafanyika kuanzia jumatatu hadi ijumaa.

Leave a Comment