Share

Maandalizi ya mitihani : Magoha apiga marufuku hafla shuleni

Share this:

Ikiwa imesalia miezi miwili kabla ya kuandaliwa kwa mitihani ya kitaifa ya KCPE na ile ya KCSE kuanza rasmi kote nchini, waziri wa elimu Prof George Magoha amepiga marufuku hafla zozote shuleni katika muhula wa tatu.
Hatua hii amesema itawapa wanafunzi mazingira safi ya kujitayarisha kwa mitihani hiyo.
Mwanahabari wetu Georgina Magondu na maelezo zaidi

Leave a Comment