Share

Maafisa wawili wa polisi wakamatwa Nakuru kwa madai ya ufisadi

Share this:

Maafisa wawili wa polisi wametiwa mbaroni mjini Nakuru kwa madai ya kuitisha hongo kutoka kwa jamaa mmoja katika jumba la Highway Towers.

Leave a Comment