Share

Maafisa wakuu wakosa kufika kwenye mkutano wa baraza la kitaifa la utekelezaji haki

Share this:

Tofauti kati ya idara ya mahakama na serikali kuu zilibainika kuongezeka baada ya karibu maafisa wote wakuu walioalikwa kukosa kufika kwenye mkutano wa baraza la kitaifa la utekelezaji haki. Wale walikosa kufika kwenye mkutano huo walikuwa waziri wa usalama wa taifa Fred Matiangi ambaye alikuwa mgeni rasmi, mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Hajji, mkurugenzi wa idara ya upelelezi George Kinoti, inspekta jenerali wa polisi Hillary Mutyambai na afisa mkuu wa tume ya maadili na vita dhidi ya ufisadi Twalib Mbarak.
Connect with KBC Online;
Visit our Website – http://www.kbc.co.ke/
Follow KBC on Twitter – https://twitter.com/KBCChannel1
Find KBC on Facebook – https://www.facebook.com/kbcchannel1news/
Follow KBC on Instagram – https://www.instagram.com/kbcnews_/
#KBCNewsHour

Leave a Comment