Share

Maafisa wa kliniki wasusia kazi kaunti ya Kilifi

Share this:

Serikali ya kitaifa imetakiwa kuharakisha mpango wa kutimiza mkataba wa makubaliano baina yake na maafisa wa kliniki ili kukomesha migogoro ya mara Kwa mara katika hospitali za umma. Kauli hii inajiri baada ya maafisa wote wa utabibu kule kaunti ya Kilifi kususia kazi wakidai kutekelezwa Kwa mkataba wao na serikali CBA.

Leave a Comment