Share

Maafisa 2 wa Ingwe kuchukuliwa hatua kwa ghasia za Machakos

Share this:

AFC Leopards imewapiga marufuku ya muda katibu mpanga ratiba Timothy Lilumbi na mwanachama Ian Mukhobi kwa madai ya kuhusika na njama ya kumpiga mpiga kipenga George Mwai Jumapili iliyopita uwanjani Kenyatta kaunti ya Machakos.

Leave a Comment