Share

Ligi Kuu ya Taifa KPL: Tusker, Bandari zasajili ushindi

Share this:

Klabu Ya Tusker Imechupa Hadi Kileleni Mwa Ligi Kuu Ya Taifa (KPL) Baada Ya Kuicharaza Kariobangi Sharks Mabao 3 1 Kwenye Mechi Ya Ligi Iliyochezwa Ugani Kasarani.Tusker Wanaongoza Ligi Hiyo Kwa Alama 27, Alama Mbili Zaidi Ya Gor Mahia. Katika Mechi Nyingine Wenyeji Bandari Walirejelea Ushindi Kwa Kuwatandika Wazito Mabao 4 1 Ugani Mbaraki Mombasa.

#Kenya #KTNNews #KTNPrime

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment