Share

Lawama za EACC zaelekezwa kwa tume ya ardhi, NLC

Share this:

Utata kuhusu ununuzi wa jengo la Integrity Centre, ambalo ni makao makuu ya tume ya kukabiliana na ufisadi nchini EACC, umechukua mkondo mpya baada ya kidole cha lawama kuelekezewa tume ya kitaifa ya ardhi NLC.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Leave a Comment