Share

Kwa nini Sonko amekamatwa?

Share this:

Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma Noordin Haji, ameagiza kukamatwa  gavana Mike Sonko, kwa kila alichojitaja kama ufujaji wa pesa  ya umma ipatayo milioni 357.
Kulingana na Hajji, Sonko alipaswa kukamatwa na kushtakiwa kwani alitumia cheo chake kama gavana kupokea hongo, mali ya umma kinyume na sheria, miongoni mwa mashtaka mengine.

Leave a Comment