Share

Kura ya maamuzi : Aukot atafuta kuungwa mkono

Share this:

Chama cha  Thirdway Alliance kimemuomba rais Uhuru Kenyatta, naibu rais William Ruto na kinara wa Odm Raila Odinga kuunga mkono hadharani mswada wa punguza mizigo wakishikilia kuwa hili litatatua matatizo yote ya wakenya 
Kiongozi wa Third Way Ekuru Aukot vile vile amewaomba waakilishi wote wa wadi, wabunge na maseneta kwa ujumla kuunga mkono mswada huo wa kura ya maamuzi, huku akishikilia yuko tayari kupambana na vigezo vyovyote vitakavyokuwepo.

Leave a Comment