Share

Kufa Kupona : Kibarua cha kuchimba visima kimezungukwa na hatari nyingi

Share this:

Kazi ya kuchimba kisima ni ngumu ajabu. Kazi hiyo vilevile inaweza kuwa ngumu maradufu, iwapo kisima unachokichimba, hakina hewa safi .
Kwenye makala ya Kufa Kupona wiki hii, Frankline Macharia anaangazia changamoto ya kuchimba kisima kama hicho, na jinsi mchimba kisima mmoja kutoka eneo la Murang’a amezidi kujikaza, licha ya changamoto hizo.

Leave a Comment