Share

KRISMASI YA POLISI: Wakuu wahimiza ushirikiano wa raia na polisi

Share this:

Polisi wanapongojea kujumuika na kuishi pamoja na wananchi, baadhi ya vituo vya polisi leo hii vimeeandaa hafla ya kusherehekea pamoja na wananchi kwani wakati wa sherehe za Krismasi polisi hao walikuwa kazini.
Aidha wakati wa hafla hiyo, wenyeji waliombwa kukubali mabadiliko hayo hata kitengo cha polisi kinapojizatiti kwa mabadiliko.

Leave a Comment