Share

Krismasi ya mapema Kuresoi: Vijana wawatuza wazazi Nakuru

Share this:

Ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka wa 2007 zilitengenisha familia nyingi maeneo tofauti nchini.
Baadhi ya waliojipata pabaya ni vijana kutoka eneo la Kuresoi ambao sasa wamerejea makwao na kuwaandalia wazazi wao karamu ya Krismasi.
Uhusiano wao kupitia mitandao ya kijamii uliwaruhusu kupanga sherehe hiyo.

Leave a Comment