Share

KMPDB yakataza wagonjwa kulazwa hospitalini Kerugoya

Share this:

Masaibu yameendelea kuigubika hospitali ya Kerugoya huku sasa bodi ya madaktari ikiiagiza kusitisha huduma za kuwalaza wagonjwa ila tu wale walio kwenye hali mbaya. Agizo hili limejiri huku serikali ya kaunti ya Kirinyaga ikiidhinisha bajeti ya milioni 40 kuwalipa wafanyikazi wa vibarua.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment