Share

Kizungumkuti cha uongozi Nairobi

Share this:

Spika wa bunge la Nairobi  Beatrice Elachi amesema bunge la kaunti ya Nairobi halitafanya kikao maalum siku ya Jumanne kuhusu kura ya kutokuwa na imani na gavana wa Nairobi Mike Sonko.
Elachi akizungumza na K24 hii leo amesema  hatua hiyo ni kuwezesha majadiliano ya kina kufanyika huku akisubiri ushauri kutoka kwa mawanasheria mkuu Paul Kihara kutokana na  pengo la uongozi.
Spika Elachi pia amewashauri wawakilishi wadi dhidi ya kura hiyo ya kutokuwa na imani.

Leave a Comment