Share

Kizungumkuti cha bajeti : Utata wa mgao wa kaunti haujatatuliwa

Share this:

Wingu jeusi linakodolea macho uwezekano wa serikali za kaunti kuweza kupokea mgao wa kwanza wa fedha kutokana na bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2019/2022 kutokana na utata unaozingira maafikiano kuhusu mswada wa ugawaji wa raslimali kati ya serikali kuu na serikali za kaunti.
Wengi wakisubiri kuona kusomwa kwa bajeti ya kitaifa hiyo kesho kutaafikiwa vipi bila kuwepo kwa kigezo cha mswada huu kama hitaji la kikatiba kama anavyotuarifu Anders Ihachi.

Leave a Comment