Share

Kiujuri: Nimekuwa nikisubiri siku yangu ya kufutwa kazi

Share this:

Aliyekuwa waziri wa Kilimo Mwangi Kiunjuri amesema kwamba alitarajia kutimuliwa kutoka baraza la mawaziri. Kulingana na kiunjuri, hayumbishwi na hatua hiyo ya rais na yungali imara kisiasa.

Leave a Comment