Share

Kiu ya Elimu : Mwanafunzi awashangaza walimu baada ya kuripoti shuleni na kalamu 2 pekee

Share this:

Mwanafunzi mmoja kutoka eneo la dandora kaunti ya Nairobi ameshangaza walimu katika shule ya upili ya igoki huko Imenti kusini baada ya kufika shuleni humo saa tatu usiku akiwa amejihami na kalamu mbili pekee. licha ya matatizo hayo Wycliffe Omondi alijitahidi kufika shuleni japo bila karo na walimu wakampokea. Katika kaunti ya Nakuru,msichana mmoja aliyekita kambi katika kituo cha polisi cha Central amepata afueni baada ya msamaria mwema kujitokeza kumlipia karo na mahitaji ya shuleni. Naomy Kwamboka sasa amejiunga na shule ya upili ya Morop.

#Kenya #KTNNews #KTNPrime

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment