Share

KITENDAWILI CHA MAPACHA: Sharon Mathias na Melon Lutenyo ni dada

Share this:

Matokeo ya uchunguzi wa DNA ya mapacha watatu waliozua gumzo mitandaoni baada ya kutengana maishani mwao kwa zaidi ya miaka kumi sasa yametolewa.
Matokeo hayo yamethibitisha kuwa dada hao; Sharon Mathias na Melon Lutenyo ni mapacha, na mama yao ni Rosemary Khaveleli aliyekuwa huko Kitale.
Hata hivyo kumekosekana ushahidi wa kuthibitisha mwenzao aliyesalia Melvin Imbaya ni pacha na yeyote kati ya Sharon na Melon.

Leave a Comment