Share

Kitendawili cha Githurai : Joseph Waithaka Mwangi hajulikani aliko

Share this:

Familia moja mtaani Githurai haijui hatma ya jamaa wao , ambaye anasemekana aliitiwa kazi ya usafirishaji ambayo alihitajika kuandamana na watu fulani kuendea bidhaa maeneo ya Machakos mwezi Aprili, na pindi walipotoka eneo hilo la Githurai, simu zao zasemekana kuzimwa baada ya kuondoka, na huo ndio ulikuwa wakati wa mwisho jamaa huyo kuonekana.
Mwanahabari wetu mpekuzi Franklin Wallah, alizamia kisa hiki, kukutana na familia husika na anaibuka na taarifa kuhusu jamaa anayesemekana kuandamana na dereva huyo na kusababisha kutoonekana kwake tena.

Leave a Comment