Share

Kisirani cha Pangani : Ubomoaji unaendelea kwa siku ya 3

Share this:

Sasa ni bayana kuwa nyumba 1588 za kisasa  zitaanza kujengwa katika mtaa wa  Pangani baada ya mahakama kutupilia mbali ombi la wapangaji waliopinga kufurushwa kwao na kaunti ya Nairobi.
 Kwenye uamuzi wake, jaji Kossy Bor alisema kuwa hakuna sababu yoyote ya kusitisha mpango huo wa ujenzi wa nyumba hizo, kwani tayari wapangaji walikuwa wamelipwa shilingi laki sita kila mmoja ili kuhama.
Kama anavyoarifu Kimani Githuku, tayari maandalizi ya ujenzi yamekamilika na unatarajiwa kuanza wiki ijayo.

Leave a Comment