Share

Kiongozi wa ODM Raila Odinga apinga uagizaji wa mahindi

Share this:

Kiongozi wa ODM, Raila Odinga ameongeza kauli yake kwenye mgogoro uliopo kuhusu hatua ya serikali ya kuwaruhusu wafanyabiashara kuagiza mahindi kutoka nje ya nchi. Akizungumza katika hafla ya kuwapa wakulima mafunzo katika shamba la Opoda huko Siaya, Raila amesema kuwa hatua hiyo itawapa fursa mafisadi kupora mali ya umma.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment