Share

Kinuthia, anayedaiwa kumuua mwanafunzi Ivy awekwa rumande siku 14

Share this:

Naftali Kinuthia, mwanaume anayekabiliwa na mashtaka ya mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha Moi, Ivy Wangechi, atazuiliwa kwa siku kumi na nne zaidi ili kutoa nafasi kwa polisi kupata ushahidi wa kutosha.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Leave a Comment