Share

Kinara wa ODM Raila Odinga afanya mkutano na GEMA

Share this:

Kiongozi wa upinzani Raila Odinga hii leo amekutana na kufanya mazungumzo ya faragha na wanachama wa kundi la GEMA kaunti ya Nairobi. Raila aliandamana na wabunge wa odm tj kajwang’ na jared okello. Aidha, odinga hakuweza kuzungumza na wanahabari baada ya kikao hicho cha faragha kilichochukua muda wa saa mbili. Mwenyekiti wa gema kaunti ya nairobi, wilfred kamau pamoja na wabunge kajwang na okello walisema kwamba mkutano huo ilikuwa ni mojawapo ya mikakati ya kukuza amani na kuleta pamoja jamii za kenya kufuatia mkataba wa amani kati ya rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment