Share

Kina mama 300 watoa msaada kwa watoto yatima Eldoret

Share this:

Kina mama 300 ambao ni mashabiki wa nyimbo za sundowner hii leo wanakongamana mjini Eldoret kutoa msaada kwa watoto wasiojiweza katika makao ya watoto yatima mjini humo. Sio hayo tu pia wanatafuta talanta miongoni mwa watoto hao ili wawasaidie kukuza talanta hizo.

Leave a Comment