Share

Kikao cha kwanza cha bunge ya Nyeri chagubikwa na migogoro

Share this:

Spika wa kaunti ya Nyeri John Kagucia ametoa amri ya kusitisha mipango ya kukunua shamba la ekari tano kwa minajili ya ujenzi wa nyumba ya gavana akisema kuwa ni kinyume na sheria. Na kama anavyoarifu martin munene , spika alitoa maagizo mengine ambayo huenda yakaleta mvutano kati ya bunge la Nyeri na gavana Mutahi Kahiga.

Leave a Comment