Share

Kifo cha ‘Gearbox’

Share this:

Serikali ya kaunti ya Kiambu kwa ushirikiano na bunge la kaunti hiyo limetangaza kuwa wamo tayari kusimamia shughuli za mazishi na safari ya kusafirisha mwili wa mwakilishi wa wadi ya kahawa wendani marehemu Cyrus Omondi kutoka india hadi nchini na shughuli za upasuaji kutathmini kilichomuua 
haya yanajiri huku wakaazi wa eneo alimowakilisha wakizidi kuomboleza huku wakiishi wadi katika bunge la kiambu wakitaka serikali kuu kupitia waziri wa usalama wa ndani dakta Fred Matiang’i kuangazia usalama wao kuona wanaishi na hofu hususan walioongoza shinikizo za mageuzi katika uongozi wa Kiambu

Leave a Comment