Share

Kiereini afariki : Mfanyibiashara mashuhuri aombolezwa

Share this:

Aliyekuwa mkuu wa mtumishi wa umma na katibu wa baraza la mawaziri Jeremiah Kiereini amefariki.
Kiereini ambaye pia alihudumu kama katibu wa wizara ya ulinzi wakati wa utawala wa hayati Mzee Jomo Kenyatta alifariki siku ya Jumatatu nyumbani kwake mtaa wa Karen hapa jijini Nairobi.

Leave a Comment