Share

Kidero amulikwa upya kuhusiana na kampuni ya sukari ya Mumias

Share this:

Viongozi kutoka eneo la magharibi ya Kenya sasa wanamtaka kiongozi wa mashitaka ya umma na mkurugenzi wa idara ya upelelezi kumkamata na kuanzisha mashtaka dhidi ya aliyekuwa Gavana wa Nairobi Evans Kidero kwa kile wanachodai alifuja mabilioni ya fedha katika kampuni ya sukari ya Mumias. Kulingana na viongozi hao, Kidero aliangusha kampuni ya Mumias Sugar na kuwaacha wakulima wa miwa wakiwa maskini alipokuwa mkurugenzi mkuu katika kampuni hiyo.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment