Share

Kibaridi kisicho cha kawaida kushuhudiwa Jumatatu na Jumanne

Share this:

Idara ya utabiri wa hali ya anga sasa inatoa tahadhari kuhusu kipindi cha kibaridi kikali kinachotarajiwa kushuhudiwa JumaTatu na siku ya Jumanne. Viwango vya joto vinatazamiwa kushuka na kuwa kati ya nyuzi nane na 25 haswa jijini nairobi na viunga vyake.
Na kama mwanahabari wetu Grace Kuria anavyotueleza, waendeshaji magari wametahadharishwa kuwa waangalifu barabarani kutokana na ongezeko la ukungu ili kuepuka ajali.

Leave a Comment